Swahili language

Discussion in 'Z Lounge [off topic]' started by Ronny, Jul 2, 2017.

 1. Ronny

  Ronny Gold Member Volunteer Mentor

  Hamjambo wote,
  Ningependa kuchukua fursa hii kuandika kwa lugha ya kiswahili. Ni matumaini yangu kuwa kuna wapenzi wa lugha hii ya kiswahili kwenye ukurusa huu na nafikiri ni vyema pia kujivunia lugha hii ambayo ni lugha ya taifa nchini kenya na inazungumzwa na wengi barani afrika na nchi zingine mingi ulimwenguni. Ningependa kuchukua fursa hii pia kumpa hongera zangu mkurugenzi mkuu wa shirika hili tukufu ambalo lina badililisha maisha ya wengi kutoka nchi mbali mbali zinazoendelea bila kujali mipaka. Ni matumaini yangu kuwa kuna wapenzi wa lugha hii kwenye ukurasa huu na ningependa kupata maoni yenu jinsi shirika hili linaendelea kubadilisha maisha ya wengi.

  Ahsanteni sana
  Ronald kabinga
  Kenya
   
  WendyE likes this.
 2. Ahadi

  Ahadi Silver Member

  Jambo Ronald.
  Mimi ni mfaransa, na nimependa Kiswahili.
  Thanks for writing these nice words in your beautiful language.
  Kwaheri.
   
  Ronny likes this.
 3. Ronny

  Ronny Gold Member Volunteer Mentor

  Shukrani @Ahadi, karibu. Nina furaha tele kusikia kuwa unafahamu na kuipenda lugha ya kiwashili.
   
  Ahadi likes this.
 4. WendyE

  WendyE Gold Member

  Hello all, I would like to take this opportunity to write in Swahili. It is my hope that there are lovers of this Swahili language at this momentum and I think it's also good to be proud of this language that is a national language in Kenya and is talking to many in Africa and many other countries in the world. I would like to take this opportunity also to give my attention to the director general of this glorious organization that has shaped the lives of many from developing countries regardless of boundaries. I hope there are some language lovers on this page and I would like to find out how this organization is still changing the lives of many. (Google translate)
   
  Daniel Kivango likes this.

Share This Page